wamarekani huwa ibilisi/shetani anawatumia sana kupitisha mambo yao,...promotion ya ushoga,ulevi na matumizi mengine ya dawa za kulevya yanapigiwa debe sana na USA,.
hii ni makusudi kabisa hutokea ili adhima yao ya kupitisha mambo maovu kwa jamii itimie........
porns nyingi za homosexual wanazipromote, ili kukuza kwa kas hizo tabia kwa nchi mbali,na kusex kinyume na maumbile kwa dada zetu,wanapromote sana ili kukuza huu uovu.,na impact yake jamii nyingi zimeathiliwa na hizo picha,.na kupelekea dhambi ya kinyume na maumbie kusambaa sana,...USA na wanafanya hayo makusudi wanajua ni taifa lenye ushawishi mkubwa duniani kisiasa,kiuchumi na kwa entertainment pia na kwa kila nyanja mfano.katika sector ya entertainment especially movies,music n.k.
wanafanya na kutangaza mambo maovu ili kuteka akili za vijana kwa kuchochea madhambi ili ibilisi azidi kupata watu wa kwenda nao motoni,.kias kwamba watu wabobee ktk dhambi hizo hadi waone kawaida2,.hii ni hatari ndugu zangu,..
mfano unakuta video wanavuta bangi video ya music,na wasanii karibia wote wa USA video zao ziko hivyo..hiyo inakuza matumizi ya hivo vilevi,.na usa yenyewe ni nchi ambayo kuna matumiz ya drugs kwa wingi sana,kama madawa ya kulevya,bangi,pombe nk,.........
hii ni kutokana na nchi kupromote hivi vitu na kuharibu kizazi hiki na kufanya starehe ni sehemu ya maisha huku wakimwacha MUNGU ,.
katika swala la kupromote ushoga,wanatumia movies sana mfano hio empire,power,prison break nk.
katika music wasanii wengi ni mashoga na waigizaji wengi pia mashoga,.wanafanya hivyo wakijua kuwa wasanii wanAinflunce kubwa kwa vijana na kufanya hilo tendo la homosexual kuwa kama la kawaida,wakati ni machukizo mbele za MUNGU na ni dhambi pia,...so nia kubwa ni kuhakikisha wanawaweka binadamu mbali na kumcha MUNGU kwa kuwabana vijana na movies,music nk....
my take
ushauri wa bure
,kwa vijana wenzangu msipende kuangalia vitu vya hao jamaa ni kuandaa mazingira ya kufanya dhambi na kumchukiza MUNGU,.tukumbe kitu kimoja Kuwa MUNGU alituumba ili tumwabudu pekee,.na tusiishi maisha ya kufanya dhambi Mungu anachukizwa na dhambi,.ndomaana miaka yote tangu kuumbwa kwa ulimwengu MUNGU huwa apendi dhambi,ndomaana akamtoa YESU ili tukombolewa kutoka laana ya shetani..........
mathayo 10;38