Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Thomas Zangira kasheshe lake liishia wapi?.Mtanzania kufanya kazi za kijasusi kwa masilahi ya nchi nyingine (na siyo kwa masilahi ya Tanzania); sheria za Tanzania zinasemaje?
Hapa ninamaanisha Mtanzania anayefanya kazi na taasisi za kiintelijensia za "huko duniani" wakati huo huo yeye ni raia wa Tanzania!
Define "kazi ya kijasusi".
Kuna watu wanafanya kazi openly World Bank hapo na kazi zao kwa definition fulani zinaweza kuitwa "kazi za kijasusi" a la "Confession of An Economic Hitman".
Kuna watu wanafanya kazi mabenki makubwa yanayopanga artificial LIBOR na kuharibu bei za mazao na bidhaa soko la kimataifa, na wao wanafanya a compartmentalized portion of the mission, hawaoni hata the big picture, na hata wasipofanya, wengine bwena tu watafanya, hawa nao wanafanya kazi za kijasusi ama la?
Ujasusi ni nini na kazi ambayo haiwezi kuwa ujasusi ni nini?
Na vipi kama mtu anafanyia ujasusi nchi nyingine dhidi ya nchi nyingine tofauti bila kuhusisha Tanzania.Yeye jasusi, lakini Tanzania haikumtambua kipaji chake, kapata nchi iliyotambua kipaji chake huko anafanya kazi bila kuidhuru Tanzania, anachangia kusomesha ndugu zake na kurudisha remmittances kibao nyumbani. Huyu naye vipi?
Akisema aache ujasusi huko aje nyumbani mtampa kazi?
Kwa hiyo ili suala lako si la kujibiwa bila kuelewa unamaanisha nini unaposema "ujasusi".
Kwa sababu kwa definition nyingine radical kuwa karani wa benki za kimataifa tu zilizo mjini unaweza kutafsiriwa kama unafanya kazi za ujasusi
kiranga unakuwa na michango mizuri ila sometimes hueleweki.
michango yako huwa na maswali unayojiuliza mwenyewe na kujijibu wewe mwenyewe.be straightforward tujue unasimamia nini.
nazungumzia, mfano mtanzania anaifanyia kazi ISI kukusanya intelligence information zinazohisiana na usalama wa Pakistani nchini mfano Afghanistani. Baada ya muda huyu mtu anarudi Tanzania. Ikatokea kwamba serikali ya Tanzania ikapata taarifa kwamba huyu mtu "ni hatari" alikuwa ni kibaraka wa ISI....hapo sasa!!
ujususi ni dhana pana na hufanyika ktk sector nyingi.mfano ulinzi,uchumi,siasa,dini,sayansi nk.kwa jinsi nilivyo muelewa mleta mda anauliza ujasusi unaofanyika ktk sector ya ulinzi.Maswali yapi nimejiuliza mimi mwenyewe na kujijibu mimi mwenyewe?
Nimeuliza tupate definition ya ujasusi, maana kutegemea na mrengo na falsafa za mtu, neno "jasusi" linaweza kumaanisha vitu vingi sana tofauti. Hata kina Edwin Mtei walivyofanya kazi IMF wangeweza kuitwa majasusi. Sasa basi, ili kuweza kuwa na mjadala murua, ni vizuri tuhakikishe tunakubaliana huyu jasusi tunayemuongelea hapa ni yupi.
Mengine yalikuwa ni extrapolations with scenarios, sasa kama umeona extrapolations with scenario ndiyo kujijibu mwenyewe hujaelewa mawasiliano yanavyohitaji extrapolations, examples and scenarios for the sake of clarity.
Mimi kimsingi nimeuliza jasusi ni nani.
Manake tusije kuzama sana kwenye mjadala wa majasusi wakati hata hatujakubaliana jasusi ni nani.
Tukaandika kuhusu watu tofauti huku tukifikiri kwamba tunaandika kuhusu watu wale wale.
Au tukaandika kuhusu watu wale wale tukifikiri kwamba tunaandika kuhusu watu tofauti.
ujususi ni dhana pana na hufanyika ktk sector nyingi.mfano ulinzi,uchumi,siasa,dini,sayansi nk.kwa jinsi nilivyo muelewa mleta mda anauliza ujasusi unaofanyika ktk sector ya ulinzi.
bado hakuna sheria inayomkataza hata kama kazi hiyohapa sizungumzii kazi za kawaida. nazungumzia "informers" au kwa lugha ya uswahilini "wapelelezi"
Mkuu ninakukubali kuna M-Tanzania alikuwa Jasusi wa Ki-PalestinaKama kakusanya intelligence kuhusu Afghanistan na Pakistani, na hizi habari haziihusu Tanzania, kwa nini huyu mtu awe hatari kwa Tanzania?
Na kama ni raia wa Tanzania, imekuwaje watu wa nje waweze kumjua kwamba huyu ni kifaa na kum recruit wakati Watanzania wameshindwa kufanya hivyo?
Na je, katika nchii hii ya Tanzania ambayo mpaka Ikulu inatumia email za Yahoo ambazo hata hazina semblance of protection kwa kuwa na HTTPS in this age of Edward Snowden ambayo HTTPS si protection kutoka NSA anyway, ni kweli unahitaji kuwa na agent hatari wa nchi za nje ili kuzijua "siri" za Tanzania?
Maana tusije kufanya "majasusi" nonexistent kuwa scapegoat wakati systems zetu hazihitaji hata ujasusi kuzi penetrate, all you need is a script kiddie.
ujususi ni dhana pana na hufanyika ktk sector nyingi.mfano ulinzi,uchumi,siasa,dini,sayansi nk.kwa jinsi nilivyo muelewa mleta mda anauliza ujasusi unaofanyika ktk sector ya ulinzi.
hii imewahi kutokea ktk familia yanguKuna majasusi mpaka wa kuchunguza wana ndoa.
Una maanisha ujasusi upi?