Mtanzania kufanya kazi za kijasusi kwa masilahi ya nchi nyingine (siyo kwa masilahi ya Tanzania)

Mtanzania kufanya kazi za kijasusi kwa masilahi ya nchi nyingine (siyo kwa masilahi ya Tanzania)

huyu mtu atakuwa na siri nyingi za wale waliomtuma. kurudi kwake Tanzania kunaweza kumfanya asiaminike na waajili wake. endapo ikatokea kujulikana na TISS kwamba huyu mtu alikuwa ni kibaraka wa "wakubwa" itakuwaje?


kajuaje au ndio yeye mwenyewe nini
 
huyu mtu atakuwa na siri nyingi za wale waliomtuma. kurudi kwake Tanzania kunaweza kumfanya asiaminike na waajili wake. endapo ikatokea kujulikana na TISS kwamba huyu mtu alikuwa ni kibaraka wa "wakubwa" itakuwaje?

Hizo habari za "kibaraka wa wakubwa" is a big myth.

Kwanza don't take it for granted kwamba ukiwa jasusi unakuwa na siri nyingi, wanaojua ujasusi wanajua kuna kitu kinaitwa "security clearance" na kama wewe si Mmarekani kwa mfano, kuna security clearance fulani hupati na siri fulani hupati, unapata kile kinachotakiwa kwa kazi yako tu ambacho kinaweza kuwa kitu kiko so compartmentalized to be a meaningless piece of the puzzle in itself. Mtu ana two digit string katika kufungua safe inayohitaji twenty digits, what can you do with that info? It is useless.

Pia,

Mtu kuwa na siri za waajiri wake ni sehemu ya kazi. Makamu wako wa rais kashawahi kufanya kazi hizo unazoweza kuziita za kijasusi huko Marekani, reserach in nuclear physics, CIA walikuwa hawachezi naye mbali, na leo huyo hapo Makamu wa rais.TISS wanajua.

So much for "kibaraka wa wakubwa".

At this point it can be argued serikali nzima ya CCM ni "kibaraka wa wakubwa".Jinsi wanavyosaini mikataba mibovu na kutuficha wananchi contents zake.

What can you say about that?
 
Mtanzania kufanya kazi za kijasusi kwa masilahi ya nchi nyingine (na siyo kwa masilahi ya Tanzania); sheria za Tanzania zinasemaje?

Hapa ninamaanisha Mtanzania anayefanya kazi na taasisi za kiintelijensia za "huko duniani" wakati huo huo yeye ni raia wa Tanzania!

Barasu mara nyingi intelligence organs huwa hawa recruit mtu asie mzawa kwenye mashirika yao
what they do is using u as their secret agent
mind u they will never trust u with their big deal issue
they will tail u till the last point
and if they get tired ov u being of no use THEY WILL LET YOU REST IN PEACE ( TERMINATION )
SO BEWARE DON'T LET U BE USED BY INTELLIGENCE ORGAN RATHER THAN UR COUNTRY!!!
hata Tanzania haiwez ruhusu mtanzania akawe recruited na intelligence organs na wakikugundua watakuona msaliti na watakumaliza wenyewe kiulaaaaini tu kama wananawa vilee...!!!
I insist BEWARE AND DON'T TRY THAT IF. UR NOT AT HOME!
 
Last edited by a moderator:
Ishu inakuja hawa TISS hata kuwasiliana nao tu ni shida. Ukijaribu kuwapa mkanda ulivyo "wanakupotezea"...Unakmbuka yaliyompata Ben Zygier?

Weka info sasa huyo Ben Zygier sio wote tunamfahamu
 
Ofisi zao za mikoani zipo wazi
Ofis za dar pia zipo wazi
Issue inakuja what do u want from them
Why interested in knowing them
R u not being double agent
so ndo mana huwa awa entartain outsiders
if they want u they will look for you
But don't look for them unless u av some information that needs to be listened and they will gladly do that cz one ov their mission is to protect th citizens from hurm
They r not bad people as potrayed rather good people to help us out
 
Back
Top Bottom