Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
huyu mtu atakuwa na siri nyingi za wale waliomtuma. kurudi kwake Tanzania kunaweza kumfanya asiaminike na waajili wake. endapo ikatokea kujulikana na TISS kwamba huyu mtu alikuwa ni kibaraka wa "wakubwa" itakuwaje?

Mtanzania kufanya kazi za kijasusi kwa masilahi ya nchi nyingine (na siyo kwa masilahi ya Tanzania); sheria za Tanzania zinasemaje?
Hapa ninamaanisha Mtanzania anayefanya kazi na taasisi za kiintelijensia za "huko duniani" wakati huo huo yeye ni raia wa Tanzania!
Ishu inakuja hawa TISS hata kuwasiliana nao tu ni shida. Ukijaribu kuwapa mkanda ulivyo "wanakupotezea"...Unakmbuka yaliyompata Ben Zygier?
unamzungumzia yule mbunge kutoka Kondoa, Juma Nkamia??isikusumbue huyo lazima ukubali ni mkali na tanzania itajivunia