Mtanzania kuichagua CCM ni kubariki maisha uliyonayo

Misukule ya hivyo ipo mingi kweli mtaani!! Juzi kuna mjumbe wa ccm, ni rafiki yangu amevaa minguo yake ya mboga mboga, eti ananiomba buku akanunue kilo ya unga!! Ki ukweli sikumkawiza, nilimpa makavu hadi sasa hatuongei!!!
Dawa yao ni hiyo...!
 

Mkuu. Nikumbushe hoja zako kuhusu corona Tz.
 
Maisha niliyonayo sasa ni mazuri kuliko wakati uliopita.
Sasa ni CCM na Magufuli only
 
Tanzania biashara za watu wengi zimekufa,watumishi wamefukuzwa wengi,watumishi hawajaongezewa mishahara tangu 2015,vijana hawana ajira, wamachinga wameongezeka,wafanyabiashara wakubwa kufungiwa na kubambikiziwa kesi za uhujumu uchumi, viongozi wakuu wa serikalini na vyombo vya usalama kupewa nafasi kutokea ukanda wa ziwa Victoria na Tanganyika,upinzani umetafutiwa njia ya kuuwawa,makanisa yamekufa, wafungaji wamenyanyasika,wakulima wamenyanyasika,CCM kimekuwa chama Cha watu watu,bunge halina kazi bajeti ya serikali haifuatwi,sekta binafsi zimekufa,wananchi hawa fedha na wanakula mlo mmoja,mtu mmoja amepewa madaraka makubwa kupita kiasi,suala la katiba mpya hakuna,jiji la dar linakufa majengo yamekuwa magofu,wateule hawana uhakika wa kuwepo kazini kesho.Kabla hujaenda kupiga Kura yako October 28,jipime jitafakari kwani miaka mwingine mitano ijayo mungu ndiye anayejua .
 
Haa umenikumbusha usemi huu wa kuruka mkojo na kukanyaga mavi 2015 tuliruka mkojo tukanyanga ........ tukichagua CCM tutaendele kukanyaga.......!
 
Huu Uzi mtamu sana. Waacheni waendelee kula msoto wajinga
Miaka yake mitano liwe ni fundisho kwa waliosoma number wakithubutu kumchagua tena watajuta kuzaliwa sababu alishajiapiza siku akiwa rais watu watakamua chura maziwa badala ya ng'ombe....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…