TRA TanzaniaTamaa ya maisha mazuri ndo inawafanya watu waibe mapato ya serikali ila pia jinsi serikali inavyotumia pesa za walipa kodi nayo inawafanya baadhi ya raia kuona ni haki kuiba wakati si sahihi.
Uko sahihi sana ila nadhani hapa bila automation bro, hakuna tiba, wasomi wakae chini wafanye uchunguzi yakinifu then watengeneze system ambayo italimit kwa kiwango kikubwa wizi. La sivyo ni kama kukimbiza upepo usioonekana.
Ye haogopi??? ππππShida ni kwamba tukishalipa hizo kodi mnajinufaisha wenyewe tu, Matumizi binafsi ya kwenu ni 97%, Matumizi kwaajili ya maendeleo ya walipa kodi 3%, WE KUWEZA??