Mtanzania kwenda anga za juu; gazeti lasema "mwezini"!

Hivi u-Tanzania ni sawasawa na uraia wa Tanzania? Hivi mimi nikichukua uraia wa nchi nyingine basi utanzania wangu ( uasili wangu) unapotea? Kwani kwa kuchukua uraia wa nchi nyingine ni sawa na kukana uraia wang

Amandla...........

Si ndio hapo yaani kuna watu wanachekesha kweli na mentality yao kuhusiana na utanzania.
 
Haendi mwezini. Who wrote this rubbish? He's only going about 100km up.. Pre-orbital space on Richard Branson's new Virgin Galactic "space ship" or rather more specifically a plane that reaches the border of space after being launched from a mothership. Tickets cost 200,000 dollars and ata papaa msoffe anaweza kwenda if he ddnt buy a few cars next year. I myself plan to go in the next 15 yrs if all goes well. Its not mwezini, ignorance is some crazy ish.LOL

You funny!!!!! 🙂
 
Anaenda na nani na nini huko mwezini? Ungo?

Pheeeew! afadhali wewe umekuja na kusema anaenda na nani na nini. Miafrika mingine hapa ilikuwa inazidi kuendeleza ujinga na uduni wa IQ zao bila hata kujua anaenda endaje huko 'mwezini'. I'm sick of Miafrika.

Jigeuze Michael Jackson, huna haya we.
 
Jigeuze Michael Jackson, huna haya we.

Hata nikijigeuza Michael Jackson ukweli utabaki pale pale. Mtu ukileta habari hapa basi leta habari iliyokamilika kuhusu mambo ya msingi. Unasema anaenda mwezini, okay, anaenda lini, na nani, na nini? Hayo ni mambo ya simple 5 Ws ktk uandishi. Kuna ugumu gani kuzingatia hiyo misingi?
 
What has that do to we Africans?
 
Kabla hamjatoana roho, gazeti na hao wasaidizi wa rais wameudanganya umma wa Watanzania, safari ya mwezini haiko mpaka labda mwaka 2018 mwandishi/mhariri/wasaidizi wa rais wameshindwa kucheck ilo? Alafu huyo Ashish sijaona sehemu yoyote kajitambulisha kama mtanzania ila kama kawaida wanasiasa wetu kwa kutaka sifa......go figure.
 
Hivi u-Tanzania ni sawasawa na uraia wa Tanzania? Hivi mimi nikichukua uraia wa nchi nyingine basi utanzania wangu ( uasili wangu) unapotea? Kwani kwa kuchukua uraia wa nchi nyingine ni sawa na kukana uraia wang

Amandla...........

THE TANZANIA CITIZENSHIP ACT 1995:

"4) A citizen of the United Republic shall cease to be a citizen it
(a) having attained the age of eighteen years, he acquired the citizenship
of some country other than the United Republic by a voluntary
act other than marriage;
(b) having attained that age of eighteen years, he otherwise acquired
the citizenship of some country other than the United Republic,
or while a citizen of the former Republic of Tanganyika or the
former People's Republic of Zanzibar; and has not, by the
specified date renounced his citizenship of that other country,
taken the oath of allegiance and made and registered a declaration
prescribed by Parliament regarding his intention as to residence."

Kuna kipengele pia kina eleza kwamba mmoja wa wazazi akiwa mtanzania basi mtoto ana kuwa mtanzania (tanzanian citizen) bila kujali kazaliwa nchi gani hadi atakapokuwa na miaka 18, by then akiwa na uraia wa nchi nyingine uraia wake wa tz unapotea
 
Kabla hamjatoana roho, gazeti na hao wasaidizi wa rais wameudanganya umma wa Watanzania, safari ya mwezini haiko mpaka labda mwaka 2018 mwandishi/mhariri/wasaidizi wa rais wameshindwa kucheck ilo? Alafu huyo Ashish sijaona sehemu yoyote kajitambulisha kama mtanzania ila kama kawaida wanasiasa wetu kwa kutaka sifa......go figure.

Ilivyo ni kama serikali iliyopo madarakani sasa inaendeshwa na kigenge cha wapambe waliosheheni usanii wa kila namna.... urais wa kununua kwa fedha bwana.....
 
Haendi mwezini. Who wrote this rubbish? He's only going about 100km up.. Pre-orbital space on Richard Branson's new Virgin Galactic "space ship" or rather more specifically a plane that reaches the border of space after being launched from a mothership. Tickets cost 200,000 dollars and ata papaa msoffe anaweza kwenda if he ddnt buy a few cars next year. I myself plan to go in the next 15 yrs if all goes well. Its not mwezini, ignorance is some crazy ish.LOL

Waziri wa maliasili nae mbumbumbu anampoteza mkulu kuwa huyo kijana anakwenda mwezini na hakuna hata msaidizi wa Jakaya aliyeweza kusahihisha makosa!! Watu kama Kinyambiss ndio wanaofaa kuwa washauri wa Mkulu sio mediocres kama wakina Salva, January na machizi wengine!!
 
THE TANZANIA CITIZENSHIP ACT 1995:

"4) A citizen of the United Republic shall cease to be a citizen it
(a) having attained the age of eighteen years, he acquired the citizenship
of some country other than the United Republic by a voluntary
act other than marriage;
(b) having attained that age of eighteen years, he otherwise acquired
the citizenship of some country other than the United Republic,
or while a citizen of the former Republic of Tanganyika or the
former People's Republic of Zanzibar; and has not, by the
specified date renounced his citizenship of that other country,
taken the oath of allegiance and made and registered a declaration
prescribed by Parliament regarding his intention as to residence."

Kuna kipengele pia kina eleza kwamba mmoja wa wazazi akiwa mtanzania basi mtoto ana kuwa mtanzania (tanzanian citizen) bila kujali kazaliwa nchi gani hadi atakapokuwa na miaka 18, by then akiwa na uraia wa nchi nyingine uraia wake wa tz unapotea

Bado unachanganya uraia wa Tanzania (citizenship) na utanzania (ethnicity). Hapa ninachoulizia ni uTanzania na sio uraia wa Tanzania.

Kwa mfano, Julius anaweza kuwa raia wa Marekani lakini hakumuondeshei haki ya kujiita m-Tanzania. Tatizo linakuja kwenye watoto wa Julius atakaowazaa Marekani na raia wa Marekani mwenzake. Lakini jee kama huyo raia wa Marekani nae ni mtanzania, mtoto wao hatakuwa na haki ya kujiita m-Tanzania?

Amandla........
 
Nilitegemea jina kama masawe au juma kumbe yale yale ya kaka mkubwa. Hamna jipya hapo
 
Bado unachanganya uraia wa Tanzania (citizenship) na utanzania (ethnicity). Hapa ninachoulizia ni uTanzania na sio uraia wa Tanzania.

Kwa mfano, Julius anaweza kuwa raia wa Marekani lakini hakumuondeshei haki ya kujiita m-Tanzania. Tatizo linakuja kwenye watoto wa Julius atakaowazaa Marekani na raia wa Marekani mwenzake. Lakini jee kama huyo raia wa Marekani nae ni mtanzania, mtoto wao hatakuwa na haki ya kujiita m-Tanzania?

Amandla........

Ninavyoelewa Mtanzania ni mtu mwenye uraia wa Tanzania i.e mtu aliyezaliwa UK na baba na mama waUK akachukua Uraia Bongo tunamwita Mtanzania hatumwiti Mwingereza.
Wangesema ni raia wa UAE ambaye ana asili ya TZ nadhani ingekuwa karibu zaidi na ukweli. Kwa hiyo huyo Julius na Mtoto wake hawawezi kujiita Watanzania.
 
Hii inaonyesha ni jinsi what we can achieve given the opportunity.

ps. am i supposed to care?, or else join their club (what Phd does next) guys just hate, funny i aint spoken to many over a decade

Nobody is going to give us the opportunity. We have to make our own opportunities.
 
Bado unachanganya uraia wa Tanzania (citizenship) na utanzania (ethnicity). Hapa ninachoulizia ni uTanzania na sio uraia wa Tanzania.

Kwa mfano, Julius anaweza kuwa raia wa Marekani lakini hakumuondeshei haki ya kujiita m-Tanzania. Tatizo linakuja kwenye watoto wa Julius atakaowazaa Marekani na raia wa Marekani mwenzake. Lakini jee kama huyo raia wa Marekani nae ni mtanzania, mtoto wao hatakuwa na haki ya kujiita m-Tanzania?

Amandla........

Julius, the specimen!!! lol

You mean the physical specimen of a man I am? The genetic jackhammer?
 
Haendi mwezini. Who wrote this rubbish? He's only going about 100km up.. Pre-orbital space on Richard Branson's new Virgin Galactic "space ship" or rather more specifically a plane that reaches the border of space after being launched from a mothership. Tickets cost 200,000 dollars and ata papaa msoffe anaweza kwenda if he ddnt buy a few cars next year. I myself plan to go in the next 15 yrs if all goes well. Its not mwezini, ignorance is some crazy ish.LOL

Wakati ukifika usilaze damu kwenda kumuaga President Nchimbi🙂. Tena mwambie waenda kwenye Jupiter, na wewe ni mtz wa kwanza.
 
Huyu mtu ni mwingereza wa Dubai ama Mtanzania wa Uingereza?Kuna mtu anajuwa waingereza watamtambulisha vipi since baba yake ni Mwingereza?Kama ni kweli amechagua kujitambulisha kama "Mtanzania" Basi ni lazima awe raia wa Tanzania...Unless Ikulu imeamua kumuenzi kwasababu amechanganya damu ya kitanzania kutokana na mama yake kuwa Mtanzania....Kama si raia wa Tanzania,then heading na habari nzima ni upotoshaji. Pia the fact kwamba haendi mwezini inaonyesha udhaifu mkubwa kwenye utawala wa juu,ikulu aliitwa ama aliomba kwenda?Washauri wa rais acheni hizo,shirikisheni mbongo zenu kidogo unless you really dont care about the president.
 
Back
Top Bottom