Mtanzania lazima awe na chembechembe za unafiki 99% na uhalisia 1%

Mtanzania lazima awe na chembechembe za unafiki 99% na uhalisia 1%

Mbahili

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
281
Reaction score
525
Nilikuwa najiuliza maswali kibao. Mbona watanzania tunapiga vita vitu ambavyo tunahisi viko mbali wakati kiuhalisia tunavyo nguoni na damuni mwetu?

Naomba nieleweke; hoja yangu ni ya kujenga na kufikirisha tu;

Majuma kadhaa imepita tumesikia serikali imefungia taasisi fulani kwa kuleta vitabu abc ambavyo huingiza tamaduni chafu nchini plus USHOGA. Watu walipiga makofi, ila kwa kila aliepiga makofi, je anajua content ya vitabu hivyo? Je kuna reason ya kuifungia taasisi iliyoleta vitabu 8000 na kwenye hivyo vitabu 244 mkagundua kuwa vina vinasaba vya ushoga?
Je aliepiga makofi kwani sio shoga.. kwanza shoga ni nani?

Kuna kitu kinaitwa LGBTQ. Nitazungumzia kwenye B. B stands for Bisexual. Hivi unajua hata mwanaume akipenetrate penis through the anus of a female ni ushoga huo?

Why serikali isisafishe ndani inapambana na nje. Why serikali isianzishe mchakato wa kupima wananchi wake marinda?

Unajua wanaoingiza haya mambo ni wasanii? Kwanini wasifutiwe leseni zao za muziki. Msanii anaimba live na serikali inapiga hadi hizo nyimbo ikulu, wanacheza nusu uchi.. hizo sio utamaduni wa wenzetu?

Ila kwasababu ya ngozi yetu iliyojaa unafiki na uzandiki, hizo content ikiwekwa kwa picha hatulalamiki, ila ikija kwa njia za vitabu utaskia waandishi wa habari na mkuu wa mkoa akitafuta kiki za kisiasa..

Inamaana kwanini zuchu akitoa video chafu msiite waandishi wa habari? Mboso aliwahi toa video na bill nas, uliona yale mafuta? Leo mbosso yuko wapi? WCB imefutwa?

Ila endapo mpambanaji anapoamua kusimamia jamii yake ielimike anaitwa msaliti..

Leo Kapuya foundation haifanyi kazi WCB wanafanya kazi, na content zao zipo mtaani.. Aslay katoa connection na akaachia na ngoma. No one to ask..

TUNATOFAUTIANA TU VYEO TULIONAVYO ILA ASILI YETU NI UNAFIKI NA UJUAJI
 
Back
Top Bottom