Walikuwa zaidi ya 70Kati ya Wakimbiaji wangapi?
Kwahiyo tumpongeze au Tumzomee
Mwambie ametisha sana, maza anaupiga mwingiView attachment 3066764
Mtanzania Magdalena shauri ameshika nafasi ya 40 mbio ndefu km 42 olimpiki paris.
😂😁FILBAT BAY MUST GO OUT.MWUAJI WA RIADHA TANZANIA
Hiyo nafasi ndo akapewa bendera au alienda nao mwenyewe?View attachment 3066764
Mtanzania Magdalena shauri ameshika nafasi ya 40 mbio ndefu km 42 olimpiki paris.