Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
labda ndo wanavyofundishwa huko wanakoendagaWanaenda kupata elimu ya ushetani. Kuua watu wasio na hatia kama yule fala wa Salender Bridge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda ndo wanavyofundishwa huko wanakoendagaWanaenda kupata elimu ya ushetani. Kuua watu wasio na hatia kama yule fala wa Salender Bridge
Hiyo misimamo mikali siyo ya dini tu, bali hata ya kisiasa kama tunavyoona wafuasi wa CHADEMA wanavyotukana ovyo. Huo ni msimamo wa CHADEMA kuhakikisha wanaleta machafuko kwa njia za kigaidi ikiwa ni pamo0ja na kuvunja sheria. Yaani mfuasi wa CHADEMA hana tofauti na mfuasi wa ISIS, Alqaeda, AU taliban. Wao ni kukubali uchafu wowote asemao Mbowe.Sio mkumbo, ishu ni kuwa kuna watu wengi wanaamini masuala ya msimamo mkali baada ya kufundishwa sana na baada ya kuamini hayo masuala wanaenda "kujifunza dini" wakienda huko wanapotea mazima.
Kuna watz wengi wameenda "kusomea dini" ukisikia hilo jambo ujue tayari..............
Sio kusoma tu misri. Pia ni member wa isis na tayari wamempongeza.Hata huyu gaidi aliyeuawawa jana alienda kusomea dini misiri
Sio kusoma tu misri. Pia ni member wa isis na tayari wamempongeza.
apa umeenda mbali sana mzee,Hiyo misimamo mikali siyo ya dini tu, bali hata ya kisiasa kama tunavyoona wafuasi wa CHADEMA wanavyotukana ovyo. Huo ni msimamo wa CHADEMA kuhakikisha wanaleta machafuko kwa njia za kigaidi ikiwa ni pamo0ja na kuvunja sheria. Yaani mfuasi wa CHADEMA hana tofauti na mfuasi wa ISIS, Alqaeda, AU taliban. Wao ni kukubali uchafu wowote asemao Mbowe.
hawa jamaa sijui wana shida ganSio kusoma tu misri. Pia ni member wa isis na tayari wamempongeza.
Hamjamkuta na ilani ya Chadema?
😄😄😄 si walimpa Mbowe kesi ya ugaidi wkt yule jamaa aliyefanya tukio Jana hapo Dar alikua Ni mwana CCM mkuu.Hehehe!!! Chadema na ugaidi wapi na wapi....
We km si mlitaka ugaidi ngoja ujeHiyo misimamo mikali siyo ya dini tu, bali hata ya kisiasa kama tunavyoona wafuasi wa CHADEMA wanavyotukana ovyo. Huo ni msimamo wa CHADEMA kuhakikisha wanaleta machafuko kwa njia za kigaidi ikiwa ni pamo0ja na kuvunja sheria. Yaani mfuasi wa CHADEMA hana tofauti na mfuasi wa ISIS, Alqaeda, AU taliban. Wao ni kukubali uchafu wowote asemao Mbowe.
Siwezi kushangaa CCM ndio mambo yao hayo.
MSIONGEE MSIVYOVIJUA.labda ndo wanavyofundishwa huko wanakoendaga
Mombasa.
Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo vya usalama vinamshikilia raia wa Tanzania kwa tuhuma za ugaidi.
Mtanzania huyo ambaye mamlaka zimegoma kutaja jina lake, anashikiliwa akitajwa kuwa miongoni mwa watuhumiwa wawili wa ugaidi waliokamatwa wakati wakiwa kwenye harakati za kushambulia vituo vya usalama na maduka makubwa mjini Mombasa.
Habari zinaeleza kuwa watuhumiwa hao walikamatwa juzi katika kivuko cha Likoni majira ya asubuhi.
Hata hivyo, Polisi wamegoma kuelezea kwa undani kuhusu watuhimiwa hao huku wakieleza kuwa wanaendelea na uchunguzi.
Kwa mujibu wa polisi, watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa na dhamira ya kushambulia vituo viwili vya polisi na duka kubwa maarufu katika eneo la Nyali.
Taarifa za kipolisi zinadai kuwa kulikuwa na mpango wa kutekeleza shambulio hilo leo katika kuadhimisha tarehe ya kifo cha Sheikh Aboud Rogo, ambaye aliuawa Agosti 27, 2012 kwa tuhuma ya kuhusika na ugaidi.
Tukio lilivyokuwa
Taarifa zinaeleza kuwa watuhumiwa hao walizingirwa na wapelelezi kutoka Kikosi Maalum na Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi (ATPU) walipokuwa kwenye gari aina ya Toyota Probox nambari KCE 695U kabla ya kutekeleza shambulio hilo.
Maofisa hao waliwazingira na kuwavamia wawili hao wakati wakizozana na maofisa wa kivuko hicho kuhusu malipo ya kuvusha gari walilokuwa wakilitumia.
Baada ya kukamatwa waliingizwa kwenye gari la polisi huku wananchi wakishuhudia kisa hicho kama sinema. Mzozo ulitokea katika kivuko hicho wakati watuhumiwa hao walipogomea kufanya malipo kwa njia ya mtandao.
Mara baada ya kutiwa mbaroni, bunduki mbili za AK-47, simu za mkononi, risasi 150 na vitu vingine vilipatikana wakati maofisa hao wa usalama wakifanya upekuzi kwenye gari hilo la watuhumiwa.
Tayari watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kujibu mashtaka yanayowakabili.
Chanzo: Mwananch