peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ndoa ya Dr. Juma Mwaka Juma na Mkewe Queen Oscar Masanja haijavunjika, limesema Baraza la Ulamaa lililokutana kwa dharura leo Jijini Dar es salaam ikiwa ni siku chache toka Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam atangaze kuvunjika kwa Ndoa hiyo.Tanzania hatuna mahakama za kadhi!! Kwani Tanzania tokea lini tukaanza kuhukumiwa kwa sheria za kiislam?
Mshaanza chokochoko nchi ilitulia hii.Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
[emoji2]Mshaanza chokochoko nchi ilitulia hii.