Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Mara ya mwisho nilisikia cha ukucha ilikiwa 2000 tena zamani kidogo na sio pure... sasa imagine kilo moja ina nusu kucha ngapi ndani yake? Ile ni starehe ya matajiri
Hizo ni bei za crack...pele mwenyewe bei yake ni kama dhahabu.

Bongo wanaletewa cracks, meths,tranq na fentanyl.... cocaine na hetoine ni ghali mno kwa maskini kuweza kununua.
 
Huyu hana miaka 60 huyu ana miaka 70/80 alipaswa awe mwenyekiti wa jumuia au sheikh flani hv
 
Huyu mzee jau kweli, umri huo si kuwalea wajukuu na kumrudia Mungu
 
Wazee wa kkoo hao na migo migo.
Soon utajua hujui ukimuona muddy side kakamatwa na mzigo.
 
Ethiopia wanalipiza kisasi, Kila siku mnakamata raia wao wanapita tu kwenda South Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…