Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

nimemkumbuka alikamatwaga na gram kama 250 hivi yeye na mkewe... walishaachiwaga kwa mchongo... wewe bwana hufatilii mambo🀣🀣🀣
Du, kama kweli basi kweli pesa ni konyo.. na mahoteli yake yamefunguliwa? Maana zilianza kuwa magofu..
 
MKuuu KULE NDIO KULEE MAPITIO YAO SIJUI WALIBADILI VIONGOZI WAKAJA BA SHERIA KALI SANA ANAEKAMATWA NA MADAA WEWEE WOTE WAKAKIMBIA HIO NJIA HUYU FALA NAHISI ALIJISAHAU MASIKNI
Sasa Transit ukikamatwa si uzembe wako tu, huyo wenge ndo lilimponza.
 
Transist kitaifa kama Ethiopia wanamshikilia ivo, vitaifa vingine vya ajabu sana..........nchi aliyotoka na anayo kwenda imewapa jamaa Green light......hizi nchi Brazill, Mexico, Pakstan, Malaysia, ni waasisi na big manufacturer wa dawa.

Huyu mzee kameza kg 1.3 ni sawa na kilo moja na robo ivi, huu mzigo unavomeza unakuwa na masharti kwenye kula mpaka utapo fika kwa afya yake mbona shughuli.

Anaonekana kachoka vibaya sana mithili ya punda.......

Ila Tanga ni vinara kwa hii biashara, kina Yanga Omary walishatoka???? Tanga alisumbua sana, matajiri wengi wa Tanga wanapush hii cargo.......afu watu wanakuja kusema waislamu wanaongoza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ niwaambie tu ni kwa hapa Tanzania wao ndo wauzaji wakubwa.
 
Mtoto wa Tanga kunani huyu
 
Hawa wazee wengine bana,huyu anaonekana ni drugs dogs wa zamani sana,kazi nyingine wafanye vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…