Mtanzania mwingine akamatwa na madawa ya kulevya Kenya

Ulikua na bahati sana tena siku nyingine usithubutu kufanya kitu kama hicho, kwenye usafiri kila mtu achunge mzigo wake, afe nawo. Mimi hata nikisafiri kwa bus wakati nimebeba laptop, tukisimama kuchimba dawa huwa naingia nayo chooni kabisa bila aibu hakuna cha kuachiana wala nini.

Kuna kioja cha mama na kijana wote Watanzania walikua wanatokea kwenu huko na kuingia Kenya, mama akampa kijana kabegi fulani amsaidie kubeba, mapolisi ya Kenya yalipolisimamisha basi na kukagua yakakuta bangi humo. Kijana alipojaribu kukana mzigo na kusema ni wa mama, alishangaa sana maana yule mama alimbadilishia na kumkana na kuwa mkali kama chui.

Dogo alitokwa na machozi na makamasi na jasho analia kama mtoto, walipelekwa kituoni wote lakini yule mama maana ni 'expert' wa mambo haya, aliendelea kukana na kuwa makini kwa jinsi alikua anajitetea, ila dogo limbukeni aliishia kuteseka akili. Mapolisi yakawahoji kwa umakini wakaishia kumpigia mwenyeji wake dogo aje amchukue maana kwa kweli walimhurumia na wakamshauri sana awe makini asiwe anabebeshwa mibegi kiholela, japo limama liliachiwa lakini lilizomewa sana, maana hapo tayari angesababisha dogo aswekwe ndani miaka saba.
Duh! Kisa hiki kimenikumbusha jamaa yangu mmoja aliyesafiri kwenda Uigereza miaka ya 1990s kwa ajili ya masomo, akiwa kwenye ndege akakutana na Wapemba kadhaa waliokuwa wanasafiri kwenye Ulaya (kumbuka enzi zile Wapemba walikuwa wanajilipua, kwa maana wakifika Ulaya wanachana pasipoti zao na kuomba hifadhi ya ukimbizi wakidai CCM inawatesa).

Kwa kuwa Watz wana utamaduni wa kuchukuliana na kama ndugu, basi jamaa akamhurumia Mpemba mmoja aliyekuwa na watoto watatu au wanne (sikumbuki vizuri), jamaa akamsaidia mtoto mmoja, waliposhuka airport akashangaa yeye na wale Wapemba wanazungushwa nyuma ya jengo moja na kuambia wasubiri, huko akakuta watu wengine (pia kutoka Zanzibar) wakiwa wamekaa wanasubiri usafiri wa kupelekwa kambi ya wakimbizi.

Mwanzoni hakujua kilichokuwa kinaendelea, alidhani ni utaratibu tu wa pale airport lakini baadaye akashtuka kuona muda unazidi kwenda na haoni wenyeji wake kumfuata. Kumbe wenyeji wake walisubiri na walipomkosa wakaamua kuondoka. Muda ulipokwenda sana aliufuata uongozi wa airpot na kuulizia kilichokuwa kinaendelea, katika maongezi akagundua kuwa walidhani hata yeye ni sehemu ya wale Wapemba, walimuomba radhi na kumtaka siku nyingine awe makini.

Tatizo likaja sasa jinsi ya kuwapata wenyeji wake, lakini kwa kuwa alikuwa na address, ilibidi akodi teksi iliyomfikisha kule alikotakiwa kwenda, na tangu siku hiyo amekuwa makini sana anaposafiri...
 
Hehehe!! Aisei hatari sana, mimi nikisafiri huwa sipendi sana hayo ya undugu, hata nikiwa Bongo nikikutana hata na Mkenya mwenzangu huwa sipendi kumchangamkia hadi nimfahamu vizuri na kuelewa mishe zake kwenye nchi ya watu maana unaweza kushangaa siku moja umezingirwa na usalama wa taifa wakikuuliza wapi yule mnayekuanga naye.....na kupelekwa kusikojulikana ndani ya gari la wasiojulikana.
 
😀😀😀...
 
The reason why you shouldn't trust a KENYANView attachment 742744
WhatsApp Image 2018-04-13 at 15.41.37.jpeg

even the Becham's know wassup
 
You too childish son, you need to sit down..
hahahaha you start posting pictures from Google.. i show your dumb ass what you did.. i laugh at you and now you are butt hurt hahahahahahahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Fvuuuuucking Retarded Tanzanian 😀😀😀😀😀
 
Picture from Google?? You my friend are so Lunatic, so you wanna say Bekham didnt visit Tz, will smith, bill gates, RickRoss, Omarion, Muhammad Ali and others? I gave you a proof, what else do you want? Who's Retard here now? This proves how douchebags Kenyans are.. HASHTAG KENYA MUST FALL, RESIST KENYANS AND THEIR SHITS
 
Back
Top Bottom