Mtanzania mwingine akamatwa na madawa ya kulevya Kenya

Duh! Kisa hiki kimenikumbusha jamaa yangu mmoja aliyesafiri kwenda Uigereza miaka ya 1990s kwa ajili ya masomo, akiwa kwenye ndege akakutana na Wapemba kadhaa waliokuwa wanasafiri kwenye Ulaya (kumbuka enzi zile Wapemba walikuwa wanajilipua, kwa maana wakifika Ulaya wanachana pasipoti zao na kuomba hifadhi ya ukimbizi wakidai CCM inawatesa).

Kwa kuwa Watz wana utamaduni wa kuchukuliana na kama ndugu, basi jamaa akamhurumia Mpemba mmoja aliyekuwa na watoto watatu au wanne (sikumbuki vizuri), jamaa akamsaidia mtoto mmoja, waliposhuka airport akashangaa yeye na wale Wapemba wanazungushwa nyuma ya jengo moja na kuambia wasubiri, huko akakuta watu wengine (pia kutoka Zanzibar) wakiwa wamekaa wanasubiri usafiri wa kupelekwa kambi ya wakimbizi.

Mwanzoni hakujua kilichokuwa kinaendelea, alidhani ni utaratibu tu wa pale airport lakini baadaye akashtuka kuona muda unazidi kwenda na haoni wenyeji wake kumfuata. Kumbe wenyeji wake walisubiri na walipomkosa wakaamua kuondoka. Muda ulipokwenda sana aliufuata uongozi wa airpot na kuulizia kilichokuwa kinaendelea, katika maongezi akagundua kuwa walidhani hata yeye ni sehemu ya wale Wapemba, walimuomba radhi na kumtaka siku nyingine awe makini.

Tatizo likaja sasa jinsi ya kuwapata wenyeji wake, lakini kwa kuwa alikuwa na address, ilibidi akodi teksi iliyomfikisha kule alikotakiwa kwenda, na tangu siku hiyo amekuwa makini sana anaposafiri...
 

Hehehe!! Aisei hatari sana, mimi nikisafiri huwa sipendi sana hayo ya undugu, hata nikiwa Bongo nikikutana hata na Mkenya mwenzangu huwa sipendi kumchangamkia hadi nimfahamu vizuri na kuelewa mishe zake kwenye nchi ya watu maana unaweza kushangaa siku moja umezingirwa na usalama wa taifa wakikuuliza wapi yule mnayekuanga naye.....na kupelekwa kusikojulikana ndani ya gari la wasiojulikana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...
 
You too childish son, you need to sit down..
hahahaha you start posting pictures from Google.. i show your dumb ass what you did.. i laugh at you and now you are butt hurt hahahahahahahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Fvuuuuucking Retarded Tanzanian πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Picture from Google?? You my friend are so Lunatic, so you wanna say Bekham didnt visit Tz, will smith, bill gates, RickRoss, Omarion, Muhammad Ali and others? I gave you a proof, what else do you want? Who's Retard here now? This proves how douchebags Kenyans are.. HASHTAG KENYA MUST FALL, RESIST KENYANS AND THEIR SHITS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…