Mtanzania Mzalendo amiliki kiwanda cha kuunganisha mabasi

Hongera sana Mr. Makundi. Nakumbuka serikali imekuwa inasema itatengeneza kiwanda cha kuunganisha malori (Scania) miaka zaidi ya 15 imepita sasa haijatokea, huyu bwana ameweza mwenyewe, apongezwe!
 
Hongera sana ila design bado ni CnP
Design sio yake, ni assembly tu, parts zote zinabuniwa na kutengenezwa nje ya nchi.

Kama vile pikipiki au baiskeli zinatengenezwa nje zinakuja vipande kwenye maboksi na kuunganishwa hapa nchini.
 
Huyo jamaa atakuwa ni akili kubwa mchaga toleo la zaman

Wachaga wa siku hizi kazi kupaka poda tu huku wakijisifia mali za mababu na wajomba wao ambao walikuwa na juhudi za juu sana kwenye utafutaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wapo vizuri hata wasasahv ingekuwa hawapo vizuri wasingetapakaa nchi nzima kuwekeza,Kuna sehemu yoyote tz utamkosa mchaga? Mwanza kwenu wameinunua karibu wanamaliza
Nenda sengerema,magu biashara kubwa kubwa uulize Ni za kina nan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ukabila mtaacha lini???
wachaga ni watz kama wtz wengine
 
Huyo jamaa atakuwa ni akili kubwa mchaga toleo la zaman

Wachaga wa siku hizi kazi kupaka poda tu huku wakijisifia mali za mababu na wajomba wao ambao walikuwa na juhudi za juu sana kwenye utafutaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchaga mmoja ni sawa na Mabeira boys elfu moja. Kila unapokanyaga tupo,acha wivu wa kijinga,penda wivu wa maendeleo
 
Hiyo inatofauti gani na garage kama ni simply assembly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…