Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

Hii kitu ni Ngumu sana.
Verry sory kwa Binti kesi yake inafanana sana na Lulu wa kanumba.

Pole sana kwa Familia Ya Marehemu.

Haya maisha!!
Kifo ni Fumbo zito sana.

Sheria ni msumeno hukata huku na huko
Wanaigia waliomo na wasiomo.
 
Pole yake Naima Mungu amfanyie wepesi kama hajahusika juu ya kifo cha mwenzie
 
Back
Top Bottom