Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari.
Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio.
Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number maalum kwa jina 'PWD No' na hupata usaidizi kutoka kwa serikali.
Wametaka serikali kuchukua sheria kali dhidi ya raia hao walio humu nyuma ya sheria.
www.facebook.com

1M views · 10K reactions | Hii ndio inaitwa instant healing ama? | The lucky mum Debra Nyanchoka
Hii ndio inaitwa instant healing ama?