Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,395
Reaction score
5,810
Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari.

Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio.

Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number maalum kwa jina 'PWD No' na hupata usaidizi kutoka kwa serikali.

Wametaka serikali kuchukua sheria kali dhidi ya raia hao walio humu nyuma ya sheria.

 

Attachments

  • Screenshot_20251001-214505_Facebook.jpg
    263.1 KB · Views: 51
Wewe pia hiyo namba unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…