Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,710
Sasa mtu kafanya kazi kwa miaka 17 kama Director General wa shirika kubwa..kabla ya hapo kashafanya kazi maeneo mengine kadhaa na kote huko alikuwa akilipwa mshahara halali..sasa akimiliki hisa kwenye hiyo timu kuna shida gani kama aliamua ku invest huko?? Mlitaka afanyaje...acheni kuwa judgemental. HuweZi kumpangia mtu cha kufanya na savings zake.