Multichoice Tz ndo wanaom support sasa hivi (wanamdhamini).This guy needs support, atatuletea fedha za kigeni nyingi sana,
Wizara husika imtafutie wadhamini, yaani anatakiwa waze kufukuza upepo 24/7.
yaani awekwe kwenye kambi ya ukweli, awe ni full kufukuza upepo tu hamna kingine, mpaka atuletee gold medal 3
Mwanawane kumbe hujui faida ya kukimbia kwa nchi ehhh?kwani yeye ni faru john au faru fausta hadi atuletee fedha za kigeni
Nadhan Dstv wanamdhaminThis guy needs support, atatuletea fedha za kigeni nyingi sana,
Wizara husika imtafutie wadhamini, yaani anatakiwa waze kufukuza upepo 24/7.
yaani awekwe kwenye kambi ya ukweli, awe ni full kufukuza upepo tu hamna kingine, mpaka atuletee gold medal 3