Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Jamani amejitahidi sana. Kuna mmoja alishinda Marathon hakukuwa hata na maofisa wa ubalozi kumpongeza wala mtu wa kumwambia kuwa ameshinda, jamaa amevuka utepe bado anakimbia, mpaka waandishi wa habari wakasema mwambieni ameshinda asikimbie tena, ilisikitisha sana.