Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

1. Waondoe.ushuru kabisa kwny mitambo na mashine za kuzalisha. Kuanzia randa na bisibisi hadi mitambo mikubwa ya kuzalisha bidhaa. Hii itaongeza uzalishaji na kukuza ajira.

2. Malory, trailers na tanks, crane, mashine za barabara, kilimo nk zote zipunguziwe ushuru maana zinazalisha Ajira.

3. Big importers, kwa maana anaye import containers zaidi ya 10 kwa mzawa, na mgeni anaye ingia kwa jumla, wasiwe retailers. Watengewe eneo huko keko au kwengineko, halafu wachuuzi wakanunue kwao kisha wakauze rejareja. Hii itatoa Ajira na mitaji kwa machingq na wafanya biashara wengine.

Mgeni anapo agiza mzigo kutoka kwao mfano mchana, yy haendi kwao anapiga tu simu. Kule kwao ana punguza la bei na mkopo ya bei nafuu na tija nyingi tofauti na mzawa akienda China kufuata same mzigo. Mzigo ukifika hapa, mgeni akauza rejareja, ata dominate supply na bei ambayo mzawa hatoweza shindana, hivyo mzawa atajikuta nje ya soko, na wakti huohuo mgeni anashindana na machinga kumpuuza final consumer.

Wizard ya fedha iliangalie hili la importation kwa wageni, ione athari kiuchumi na namna ya kuigeuza athari kuwa faida. Ningekuwa wazir ningesema kuwepo na ongezeko la 10% kwa foreigners anapo import, ili hio 10% ikaondoe pengo kwa wazazi, au hata iwe source ya fund kwa mikopo ya machinga.

4. Kodi mmeongeza kwny vinywaji, lakn kuna limit katika muda wa kunywa hamuoni mnakuwa kama nyoka anayekula mkia wake? Bar zonfunguliwe 24hrs mtu anakunywa pesa yake, shida nn? Zinapouzwa vinywaji vingi, ndio wingi wa makusanyo. Askr wameajiriwa na kupeeq magari ya patro usiku ili ilinde usalama wa raia wakiwepo walevi na wenye bar. Zile defenda sio za kubeba walevi usik kupeleka vituoni ama kuwachukulia hela kisa wamekunywa fedha zao wenyewe za halali zaidi ya muda mlioweka.
 
Pongezi kwa Dr. Mwigulu kwa kuwasilisha Bajeti ya kimkakati na yenye malengo ya kuchochea maendeleo ya nchi na wananchi.

Pongezi kwa Serikali ya awamu ya 6 , kwa umakini na weledi wa viwango vya juuu.

wananchi wanaona jinsi akili inavyo tumika zaidi kuliko nguvu.

Kwa mwendo huu kazi iendelee hadi 2030
B990F1AF-34E3-43E4-A94A-DD9B7B5E3F5D.jpeg
 
Back
Top Bottom