Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Acha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tuHii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .
Okay....Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Sasa wangapi wanalipwa hizo milioni moja au milioni na nusu ? Yaani kila mtu angekuwa na uhakika wa ajira ya kupata ujira wa laki na nusu mbona Tanzania ingekuwa heaven on earth....Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
[emoji106]Kumbe unaongea South Africa ambayo ni Africa hii hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787],, nenda USA, CANADA, AUSTRALIA na UK halafu uje ufute huu uzi kama moderator watakuruhusu
Unaweza ukawa na hoja nzuri ila lugha mbovu zikakufanya uonekane umeongea pumbaAcha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tu
Mleta mada ana mawazo ya kishamba sana.Acha upumbavu huu wa kuwatia uoga vijana wanaohangaika kutafuta riziki za maisha, wewe umezaliwa kwenye royal family, uhakika wa kunya unao, na futa uongo wako kuwa watanzania wanakufa kama inzi, haya ni matusi kutoka kwako baby mother uliyelelewa na kodi za poor of the poorest, bora maisha ya kuwa Beach boy kuliko maisha ya Tandale, guy's maisha popote ukipata opportunity jilipue tu
Acha uongo. Utaozea hapa hapa na ccm yakoHii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .
Mleta mada ana Lack of exposure.Kumbe unaongea South Africa ambayo ni Africa hii hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787],, nenda USA, CANADA, AUSTRALIA na UK halafu uje ufute huu uzi kama moderator watakuruhusu
Mimi nipo Ujerumani ninakubaliana na wewe lakini kwa asilimia 50. Ni vizuri kuja nje na ni vizuri zaidi kama umekuja kusoma na kufanya kazi. Lakini ushauri wangu ni kuwa usibweteke ukafocus kwenye kuhamia nje moja kwa moja. Fanya kazi, save hela then rudi nyumbani. Exposure ulioipata huku itakusaidia sana nyumbani, kuna watu wana miaka ishirini Ujerumani lakini hawana nyumba wala investement yoyote. Yaani mtu anaona aibu kurudi nyumbani. Lakini waliorudi nyumbani wamepiga hatua kubwa sana. Nje ukikaa sana ufanye kazi miaka mitano maximum excluding miaka ya kusoma.Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .
Na wale wanaotoka huko na kukimbilia huku Africa wanafuata Laana ?Lack of exposure
Mleta mada tembea uone.
Ukitembea duniani, utaona kwamba ulikuwa na mawazo ya kishamba sana.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Acha vijana wakimbie nchi, kuepuka laana.
Ndio mkuu, wanakuja kuishi kwenye laana.Na wale wanaotoka huko na kukimbilia huku Africa wanafuata Laana ?