Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

Mimi nipo Ujerumani ninakubaliana na wewe lakini kwa asilimia 50. Ni vizuri kuja nje na ni vizuri zaidi kama umekuja kusoma na kufanya kazi. Lakini ushauri wangu ni kuwa usibweteke ukafocus kwenye kuhamia nje moja kwa moja. Fanya kazi, save hela then rudi nyumbani. Exposure ulioipata huku itakusaidia sana nyumbani, kuna watu wana miaka ishirini Ujerumani lakini hawana nyumba wala investement yoyote. Yaani mtu anaona aibu kurudi nyumbani. Lakini waliorudi nyumbani wamepiga hatua kubwa sana. Nje ukikaa sana ufanye kazi miaka mitano maximum excluding miaka ya kusoma.
Mkuu unarudi lini sasa?

Au usharudi?

Wengi mnao semaga hivi, Hamjawahi kurudi...😄😄

Kama wengi waliorudi nyumbani wamesha piga hatua kubwa sana, Mbona wewe Hurudi?
 
Ndio mkuu, wanakuja kuishi kwenye laana.

Kuna huduma nyingi sana wata shindwa kuzipata kwa wakati kama wasipo jipanga kisawa sawa kifedha.

Watakutana na huduma mbovu za afya, miundombinu mibovu, rushwa, mifumo ya wizi kila mahali, n.k
From someone who has lived abroad...; Ukiwa na Pesa za kumwaga Africa ni sehemu ya kuishi utakula bata na kuishi socially with less stress...

Ukiwa mtu wa kawaida middle income sio mbaya sana kuishi popote lakini ukiwa umepigika na mtu wa kubangaiza Ulaya ni sehemu ya kuishi sababu huko pengi middle income bado ni wengi matajiri wachache na masikini wa chache huku Africa tunapoelekea matajiri wanazidi kuwa wachache na masikini wengi hakuna middle income...

Ila Africa bado tuna bahati kama watu selfish wachache wataacha kuwanyonya wengine; we can build a happy and sustaible community (its not too late yet)

By the way unasema uhakika wa huduma za Afya ? Maybe UK na Nordic countries unadhani ukiwa US of A bila Bima kama haujafia reception na madaktari wanakuangalia sababu hauna mlungula (na kule hata Mwarobaini au Mshana au Mmasai hayupo)
 
From someone who has lived abroad...; Ukiwa na Pesa za kumwaga Africa ni sehemu ya kuishi utakula bata na kuishi socially with less stress...
Mkuu, ndio utakuwa na fedha za kutosha ila kumbuka jamii nyingi za waafrika wamejaa chuki, ujinga na wivu kutokana na umaskini wao.

Wata anza kukuonea wivu pengine hata kuku ua.

Kuna familia moja ni wakazi wa kisii nchini kenya, walitoka Kuishi Marekani na kuhamia Kenya kuishi na kufanya uwekezaji.

Ila walikuja vamiwa na majambazi,waka uwawa.

Hii ni kutokana na mentality za waafrika wengi kudhani ukitoka Ughaibuni umejaa Mahela sana.

Ndio maana mkuu nakwambia hivi,

Kuishi na waafrika hata kama una Hela lazima ujifiche fiche sana, Maana wana mentality za kipumbavu sana.

Kwa nchi za ughaibuni mfano USA, Hata ukinunua ndege hakuna wa kukuonea wivu ni kawaida sana.

Waafrika wana upumbavu wa milele.

Na mentality za wivu, chuki,husda na tamaa.

Kuishi nao inahitaji Akili sana.

Wana laana, uafrika hasa utanzania ni laana
Ukiwa mtu wa kawaida middle income sio mbaya sana kuishi popote lakini ukiwa umepigika na mtu wa kubangaiza Ulaya ni sehemu ya kuishi sababu huko pengi middle income bado ni wengi matajiri wachache na masikini wa chache huku Africa tunapoelekea matajiri wanazidi kuwa wachache na masikini wengi hakuna middle income...

Ila Africa bado tuna bahati kama watu selfish wachache wataacha kuwanyonya wengine; we can build a happy and sustaible community (its not too late yet)
 
Mkuu, ndio utakuwa na fedha za kutosha ila kumbuka jamii nyingi za waafrika wamejaa chuki, ujinga na wivu kutokana na umaskini wao.

Wata anza kukuonea wivu pengine hata kuku ua.

Kuna familia moja ni wakazi wa kisii nchini kenya, walitoka Kuishi Marekani na kuhamia Kenya kuishi na kufanya uwekezaji.

Ila walikuja vamiwa na majambazi,waka uwawa.

Hii ni kutokana na mentality za waafrika wengi kudhani ukitoka Ughaibuni umejaa Mahela sana.

Ndio maana mkuu nakwambia hivi,

Kuishi na waafrika hata kama una Hela lazima ujifiche fiche sana, Maana wana mentality za kipumbavu sana.

Kwa nchi za ughaibuni mfano USA, Hata ukinunua ndege hakuna wa kukuonea wivu ni kawaida sana.

Waafrika wana upumbavu wa milele.

Na mentality za wivu, chuki,husda na tamaa.

Kuishi nao inahitaji Akili sana.
Unaongelea Crime rate ? Unaweza ukaleta Data za Crime Rate ?

UK mfano mtu aingie kwako akuibie nini; Pesa ni kwenye kadi vitu ulivyonavyo vingi vinapatikana Sunday Market; Hakuna sehemu ambayo ilikuwa safe kama nchi za Tanzania; ila kutokana na marginalization of the poor mwisho wa siku ukiwabana watu watakuja kuchukua kilicho chako..., au nikupe case studies za Crimes huko USA ? Na ukiwa tajiri utaweka security kama umezungukwa na masikini; pili ni kama nilivyokwambia huko watu wengi ni middle income; na hawa wanaokuibia wengi sio wivu ni uduni wa maisha yako (sehemu kama Brazil, Kenya kuna slums za kutosha hata kutembea mtaani ni hatari na hio haijasabibishwa na wivu wa masikini bali Sera mbovu)
 
Sera mbovu hizi ndio zinahatarisha hata usalama wa mtu kurudi nyumbani kuishi.

Ndio maana wengi wakienda Ughaibuni hawarudi.
 
Unaweza ukawa na hoja nzuri ila lugha mbovu zikakufanya uonekane umeongea pumba
It's about sending the message, naandika kama ilivyo mimi sio politicians, nawachukia mno hawa royal families wanaojifanya nchi hii ni urithi wao, lengo ni kuwafanya vijana wetu wasipate exposure ili waendelee kuwa wapumbavu
 
Mimi nipo Ujerumani ninakubaliana na wewe lakini kwa asilimia 50. Ni vizuri kuja nje na ni vizuri zaidi kama umekuja kusoma na kufanya kazi. Lakini ushauri wangu ni kuwa usibweteke ukafocus kwenye kuhamia nje moja kwa moja. Fanya kazi, save hela then rudi nyumbani. Exposure ulioipata huku itakusaidia sana nyumbani, kuna watu wana miaka ishirini Ujerumani lakini hawana nyumba wala investement yoyote. Yaani mtu anaona aibu kurudi nyumbani. Lakini waliorudi nyumbani wamepiga hatua kubwa sana. Nje ukikaa sana ufanye kazi miaka mitano maximum excluding miaka ya kusoma.
Nina plan ya kuja German next month ntafika Berlin then ntapita Frankfurt na baadhi ya maeneo mengine...
 
Unaongelea Crime rate ? Unaweza ukaleta Data za Crime Rate ?

UK mfano mtu aingie kwako akuibie nini; Pesa ni kwenye kadi vitu ulivyonavyo vingi vinapatikana Sunday Market; Hakuna sehemu ambayo ilikuwa safe kama nchi za Tanzania; ila kutokana na marginalization of the poor mwisho wa siku ukiwabana watu watakuja kuchukua kilicho chako..., au nikupe case studies za Crimes huko USA ? Na ukiwa tajiri utaweka security kama umezungukwa na masikini; pili ni kama nilivyokwambia huko watu wengi ni middle income; na hawa wanaokuibia wengi sio wivu ni uduni wa maisha yako (sehemu kama Brazil, Kenya kuna slums za kutosha hata kutembea mtaani ni hatari na hio haijasabibishwa na wivu wa masikini bali Sera mbovu)
Sera mbovu au umaskini uliokithiri
 
Back
Top Bottom