Mtanzania wa hali ya chini jihoji. Kama Polepole ameacha mshahara mnono kwa sababu ya CCM iliyojaa ufisadi. Wewe unafaidika na nini?

Mtanzania wa hali ya chini jihoji. Kama Polepole ameacha mshahara mnono kwa sababu ya CCM iliyojaa ufisadi. Wewe unafaidika na nini?

Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo.

Tumuumge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiluko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
Alishakwapua za kutosha awamu ya Jiwe.
 
Hili swali naomba wajibu walimu wa Tanzania. Ndio wanatumika MNO na CCM kubaki na madarakani pamoja na police.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwamba Polepole ni mzalendo? Huyu si ndiyo tuliambiwa alikuwa anawanunua wabunge wa upinzani enzi za jiwe? Inawezekana nayeye anafanya haya kwasababu kile walichotarajia kukipata ili waendelee kula keki imeshindikana....... lakini bado siwezi kumpa sifa kama shujaa kwasababu nayeye ni mmoja wa walioharibu mfumo na mmoja wa waasisi wa machawa walio wengi muda huu
 
Hili swali naomba wajibu walimu wa Tanzania. Ndio wanatumika MNO na CCM kubaki na madarakani pamoja na police.
KAZI ni kipimo cha utu
Umetaja walimu na Polisi, profession nyingine ipi inataka Ccm itoke madarakanihttps://www.jamiiforums.com/threads/wahandisi-na-wakandarasi-wamnunulia-rais-samia-helkopta-kwaajili-ya-kampeni-za-urais-2025-pamoja-na-mafuta-ya-tsh-100-000-000.2236401/page-6?amp=1
 
Watanzania wenye hali ya chini ni wengi mno na ndio mtaji wa CCM kuwaita "wanyonge" na "wazalendo" wanaoilinda amani ya nchi huku majizi yakijilia kwa urefu wa kamba zao.
 
Back
Top Bottom