ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
hongera sana bwana moshi,lakini nimejiuliza iweje historia hii iwekwe leo 2012.,siku zote tulikuwa wapi?,ina maana hatuna interest au ni umaskini ndio kikwazo.
interest na umaskini ndo tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana bwana moshi,lakini nimejiuliza iweje historia hii iwekwe leo 2012.,siku zote tulikuwa wapi?,ina maana hatuna interest au ni umaskini ndio kikwazo.
Ni umri,shule au unalack exposure mwana?mbona unahara bila kuwa na maji wala toilet paper karibu tena mbele ya kadamnasi?Ngoja Niweke ule wimbo wa Mkoloni ft Mr Ebbo & John Walker-Sifa za kijinga.
Hebu fatilia kwa makini mkuu, watanzania wengi sana wamepanda uwo mlima, maybe useme wa kwanza kujitangaza kuwa kapanda uwo mlima.
Hebu fatilia kwa makini mkuu, watanzania wengi sana wamepanda uwo mlima, maybe useme wa kwanza kujitangaza kuwa kapanda uwo mlima.