Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
kumbe nini acha nongwa mtoto wa kikeSio sifa!!!
unafikiri kilaa kitu cha kujisifia!!uplayboy unahusu nn???kumbe nini acha nongwa mtoto wa kike
unahuu sn kwetu sisi ndo habari ya mjiniunafikiri kilaa kitu cha kujisifia!!uplayboy unahusu nn???
Huo ni ufinyu wa fikra na ushamba!!unahuu sn kwetu sisi ndo habari ya mjini
ushamba kwangu ni fahari kubwa mtoto weweHuo ni ufinyu wa fikra na ushamba!!
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
ushamba kwangu ni fahari kubwa mtoto wewe
umeona eehnaona unabishana na daktari .mwambie kila mtu na starehe yake
umeona eeh
Na wewe unatia aibu!kusapoti pumba!ooppss nimesahau ka we pia muuza sura ��naona unabishana na daktari .mwambie kila mtu na starehe yake
Na wewe unatia aibu!kusapoti pumba!ooppss nimesahau ka we pia muuza sura ��
Kwa kawaida Playboy huwa hailipi anaye tokea kwenye magazine yao kama vile wasivyo lipwa wasanii wanao perform kwenye Awards shows na Super BowlAcha kuwafanya watu wajinga hilo magazine halijaaandikwa issue number wala Month...inaitwa photopps amijeweka kwenye cover...watu wanalipwa ma -star kuwa kwenye hio magazine...huyo hata sio model....ondoka zako hapo na pumba zako Hii ndio playboy latest issue
View attachment 124377