Mtanzania wa kwanza ndani ya jarida la playboy marekani

Mtanzania wa kwanza ndani ya jarida la playboy marekani

MTZ.jpg

.
.
Kwa jarida hili ndani inaonekana, kuna Picha za utupu ndo mana nilitaka nishangae, tazama nje vizuri
 
Kuna watoto wazuri wameumbwa
 
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.


Mkuu unaCopy sana kwenye Blog za kibongo sio vibaya ila uwe una kautafiti maana hapa umetudanganya kweupe kabisa...

Halafu na hii style ya mademu kupiga picha na kubinua midomo kama MBUNI sijui imekaaje naona karibia kila m/Mke au ndio Swaga?
 
Na wewe unatia aibu!kusapoti pumba!ooppss nimesahau ka we pia muuza sura ��

lazima ukubali kila mtu na starehe yake ata kama uipendi mimi binafsi sipendi kuona watu wanavuta masigara,bangi,mirungi etc lakin kuna watu wanapenda.

na mimi ninavyopenda kuangalia movie za nigeria sana kuna watu hawapendi ,mkuu ndio dunia ilivyo usijali
 
Playboy ni mtandao wa ngono pornsite, nasty, nasty photos erotic images,uchafu mtupu
 
WADAU hawana huruma hata kidogo.

Muhurumieni mwenzenu
 
Acha kuwafanya watu wajinga hilo magazine halijaaandikwa issue number wala Month...inaitwa photopps amijeweka kwenye cover...watu wanalipwa ma -star kuwa kwenye hio magazine...huyo hata sio model....ondoka zako hapo na pumba zako Hii ndio playboy latest issue
View attachment 124377
Kwa kawaida Playboy huwa hailipi anaye tokea kwenye magazine yao kama vile wasivyo lipwa wasanii wanao perform kwenye Awards shows na Super Bowl
 
Back
Top Bottom