NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kati ya uchizi wangu na wa Lissu nani anaunafuu japo kidogo?Wewe ni chizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya uchizi wangu na wa Lissu nani anaunafuu japo kidogo?Wewe ni chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536]asante kwa ushauri NITAUZINGATIAMshana Jr ukiandika habari za wanga, ulozi, makafara na mambo ya nguvu za kiroho huwa unafiti vizuri sana eneo hilo, lakin mambo ya kisiasa yanakutupa mbali sana mkuu.....unachokifanya unaandika kutokana na mapenzi mazito kwa chama chako ukipendacho (hilo sio tatizo).
Unachofanya ni kujaribu tu kuwalisha watu sumu mbaya kuhusu chama chao ili wakichukie na Rais wao ili wamchukie, jambo ambalo ni gumu kushawishika, ushauri wangu......endelea na uandishi wa masuala uliyo na upeo nayo tu, kuiandika kwa mabaya CCM na mgombea wake ni kupoteza muda bure tu.
Natanguliza samahani kwako mkuu ili nisije kushitakiwa kilingeni nikapigwa kipapai
Naomba tu mkuu nisianze kujadiliwa kilingeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536]asante kwa ushauri NITAUZINGATIA