Mtarimbo wangu umelala DORO

Hapa umesema
Sasa ndo maana thread za mahusiano zinaonekana haziko serious kabisa.
Kuna mwingine anaitwa Pape naye wale wale!
HAKUNA NIKICHUKIACHO KAMA COPY AND PASTE.
yaleyale ya ZE UTAMU yanakuja JF.
kuna haja ya ze utamu irudi kwakweli, lolz.
 

Punguza mawazo, nafikiri unafikiria zaidi kutafuta pesa na huzipati - hiyo huwa ni brain tu.

Pia huyo mkeo humpendi ndo maana ngoma inagoma kupiki, tafuta demu mkali wa nje ujaribu uone results.

Ukipata majibu rudi mbio kwa mkeo manake ukizubaa kidogo tu wakali wataendelea kupumzika maeneo yako ya kujidai shauri yako, usije rudi tena hapa JF unalalamika tumekudanganya.
 
wala ucjali ni tatizo lakawaida nenda kapime sukari,presha, malaria kisha punguza mawazo na hofu fanya mazoezi ngoma itakuwa fiti tu tulishapitiia hayo mkuu
 
Pole sana.Nahisi maisha yako kwa ujumla yana matatizo.Unajua mwenyewe ulipo jikwaa.Come back to normality,muombe 'Mungu wa kweli' naye atakusaidia.If you don't any treatment you take will be temporary.
 

usidanganyike na supu ya pweza, piga kongolo la kitimoto nawe utaurudia ufalme wako kama zamani
 


Pole kwa yanayo kusibu rafiki. Ni vema umegundua kuwa uliyokuwa unayafanya hayakuwa sahihi na hayampendezi Mungu, hasa hilo la kwenda nje ili hali una mkeo. Tubu ulipokosea, na ni kweli yote yanawezekana kwa muumba.... muone daktari na muombe Mungu pia. (Hili liwe ni fundisho kwa watu wengine pia- sikulaumu ila nafikiri ni muhimu kujifunza kutokana na makosa).
 
Kama kawaida jamaa anaendelea tu kuleta story za kutunga hapa. Ukisoma hizo thread tatu alizoanzisha huyu ndugu hapa unaona ni za kutunga tu maana hazileti mtiriko wenye ukweli.

Please teach me on how to retrieve/find the the past posted topic
 
Kapime sukari. La sivyo muda wa kuwa kidume waelekea ukingoni bana, utabaki na feelings tu:becky:.
 
Tiba ya Kuongeza nguvu za kiume Chukua unga wa habbat sauda vijiko viwili na unga wa tangawizi vijiko viwili na juisi ya kitunguu thaumu ujazo wa kikombe cha kahawa changanya pamoja kwenye asali ya ujazo vikombe viwili vya kahawa koroga vizuri pamoja halafu kunywa vijiko viwili vikubwa asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili inshallah mambo yatakuwa mazuri sana.
 
Afadhali idadi ya wazinzi imepungua!
 
Pole sana ndugu hili siyo jambo la masilaha. Nenda kawaone Wachina wa pale Upanga karibu na Msikiti wa United Nations Road watakusaidia. Hii ni habarii ya kuaminika 100%
 
umelogwa na mechi za nje nawe ukome una mkeo unatokatka nje tu
 
iko siku utakuta haipo kabisa.....na mtabiri wenu hayupo subirini tu
 

Kula vizuri na upige tizi. Mambo ya kukaa pub na kupiga lager na nyama choma bila mazoezi ndio matokeo yake mzee anakuwa doro.
Tizi, tizi tizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…