Ule mtaro uliokuwa umeziba maji wazibua, maji yalikuwa yametuama na kusababisha kero kubwa yameweza kwenda. Hii isiishie hapo.
Barabara ya eneo hilo itengenezwe, na njia za mitaani pia zifanyiwe kazi. Zege mtaani haliwashindi bwana. Yaani mvua ikinyesha kidogo tu tunataabika mpaka tufanya mazombi mvua isinyeshe, kodi zetu si angalau zifanye kitu tuone? TARURA embu fanyeni jambo tuondokane na hii kero, mvua zikija tufurahie, sio kuanza kuwanza ntatokaje na kurudi nyumbani kwangu.