Huu uzi uwe maalum kwa wale wote wanaoidiss klabu ya Yanga na sasa waonapoona mafanikio watasema yote yaani wataukubali mziki mnene.
Jamaa wakifunga goli hata 5 wanakuja golini kwako kama nyuki yaani kifupi hawaridhiki sijui wamekuwa kama mbwa mwitu wakali.