Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika.
Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa vimini, vipedo, suruali za kubana, katoboa pua huyo hafai kuwa mke, pale pita na utembee; kwa sababu maisha ya ndoa si kupiga pushapu tu, ina mambo mengi zaidi.
Hivyo hivyo kwa wanawake ukiona mwanaume anatembea anajikisa, anajilamba lamba, anavaa vibukta vifupi, anajipendekeza pendekeza, na aongei kama mwanaume mwenye mamlaka; huyo piga chini ata kama ana hela, hakuna ramani hapo.