Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Hakika mkuu. Eti unajisifu una manzi mkitoka outing anavaa nguo za mitego, bro huyo havai kwa ajili yako anavaa kuvuta attention za wanaume wengine

Uko sahihi; kuna mmoja alinisumbua kweli, kuja kufuatilia alikuwa ametembea na msanii fulani, ila sikujali nikajua ni maisha tu.
Nilikuwa nikienda naye club, analazimisha avae kaptula fupi ya kuonyesha maungo yake, mpaka tukawa tunakorofishana.
kuna siku tuliingia kwenye shoo ya msanii fulani, ghafla nikamuona ameshabadilisha nguo ukumbini, na zile alizokuwa nazo amewapatia mabaunsa wamtunzie.
Nilichofanya, ilibidi nitumie mbinu za kibaharia, nikapandikiza zygote; sasa dogo ana miaka 2, mrembo sasa ndio amekuwa king'ang'anizi wa kuniomba tuonane kwa ajili ya shoo.​
 
yaani unampa binti mimba ili umkomoe?? we mzee kumbe fala

au sijaelewa??
 
Nimetoka kufuta namba za pisi moja hapa. Inataka mda wote mchat tu, na akituma text haraka ijibiwe.

Text zenyewe hazina flow, utashangaa katuma text inasema, "Mambo!" Ukijibu atatuma tena "Niambie!".. Hapo ukikaa kimya au ukimwambia upo bize linakuja gazeti la sms za malalamiko!!! Arghhh...
Piga chini huyo
 
Nilichofanya, ilibidi nitumie mbinu za kibaharia, nikapandikiza zygote; sasa dogo ana miaka 2, mrembo sasa ndio amekuwa king'ang'anizi wa kuniomba tuonane kwa ajili ya shoo.
Hapo umemmaliza kabisa. Hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana

Sikuzote wanamtawala mwanamume ambaye dhaifu

Mwanamume ambaye mwanamke hawezi kumtawala ndiye mwanamume ambaye sikuzote mwanamke hana ujanja kwake

Be that man
 
Huwa nashangaa sana, wengine wamewekeza mamilioni kwa wapenzi wao; wanakuja kuachana kwa fedheha ata mtoto wa kusingiziwa hakuna; hapo kuna tatizo. 'Be a real man'
 
Back
Top Bottom