Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Vipi kuhusu undercover bad girls????
Kunawuga na post wall wana act like they descended from heaven!

Tutawajuaje mkuu?
Mpe uhuru husimbane,utamjua vizuri jifanye kama fala kipindi unamchunguza.

Halafu kama anatumia account ya social networks, fungua hata account fake mfollow na pendelea kupitia status zake za WhatsApp.
 
Wa miaka 32, ha ha ha. Mara nyingi nakuwa na mahusiano kuanzia miaka 30, hawa angalau wanajitambua, chini ya 30 nawaachia nyie 😀
Wanajitambua wapi mkuu wakati wanakuwa desperate kufind retirement plan .
Yaani after years and years of running from one man to another sasa anatafuata fwala mwenye less experience in relationship nakumtupia zigo.

Muulize alikuwa wapi kipindi cha ubora wake? From 20 to 27)

A 30 yrs old woman is a post wall.

Nilisahau.
Utakuta ana multiple kids from different men.
 
Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika.

Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa vimini, vipedo, suruali za kubana, katoboa pua huyo hafai kuwa mke, pale pita na utembee; kwa sababu maisha ya ndoa si kupiga pushapu tu, ina mambo mengi zaidi.

Hivyo hivyo kwa wanawake ukiona mwanaume anatembea anajikisa, anajilamba lamba, anavaa vibukta vifupi, anajipendekeza pendekeza, na aongei kama mwanaume mwenye mamlaka; huyo piga chini ata kama ana hela, hakuna ramani hapo.​

View attachment 2721442
Kila mwanamke anafaa kua mke,lakini sio kila mwanamke anaweza kua mkeo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wanajitambua wapi mkuu wakati wanakuwa desperate kufind retirement plan .
Yaani after years and years of running from one man to another sasa anatafuata fwala mwenye less experience in relationship nakumtupia zigo.

Muulize alikuwa wapi kipindi cha ubora wake? From 20 to 27)

A 30 yrs old woman is a post wall.

Nilisahau.
Utakuta ana multiple kids from different men.
Kama unataka uweke kibanda sawa, ila kama ni kupooza injini tu hakuna shida
 
Back
Top Bottom