Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Nimetoka kufuta namba za pisi moja hapa. Inataka mda wote mchat tu, na akituma text haraka ijibiwe.

Text zenyewe hazina flow, utashangaa katuma text inasema, "Mambo!" Ukijibu atatuma tena "Niambie!".. Hapo ukikaa kimya au ukimwambia upo bize linakuja gazeti la sms za malalamiko!!! Arghhh...
hao wa niambie wapo wengi sana, inakera
 
Mtafakari huyo anaeutesa moyo wako, je ni sahihi au unaupa moyo mambo yasiyo ya msingi
Kwa uvaaji na unyoaji wake hakufaa kuwa mume kabisa, ila ashakuwa mume na ninajitahidi kumbadilisha. Anapenda sana kuvaa vikaptura na kunyoa kiduku sijui wanaita au kuweka vidread kwenye kunyoa kabadilika ila mavazi tunaenda polepole ataelewa tuu.
 
Tatizo hilo, angalia usije badilika wewe, wenye Tabia hizo huona wewe usiyefanya hivo mzembe na hujui kitu.
 
Tatizo hilo, angalia usije badilika wewe, wenye Tabia hizo huona wewe usiyefanya hivo mzembe na hujui kitu.
Unajua katika maisha ya ndoa nimejifunza kitu mkuu, mwanaume ni kama mtoto sometimes unaweza kumshape kimavazi, kiunadhifu inshort muonekano wake wote. Ndio maana mwanaume aliyeoa akiwa rafu watu humshangaa mke wake zaidi koz ana nafasi kubwa ya kumtengeneza mumewe.
 
Saa ingine tunapoteza watu tunaowapenda kwa njia za ajabu sana.Huwa naamini shetani hana mke[emoji16] ndo mana akiona watu wanapendana lazima awatenganishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifanya nicheke kifala saana aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa mimi ni mkali ila nilishaapa kuto kupia mwanamke nateseka na hasira,hizi simu ilikuwa ikikaa sana ni mwaka,maana nabamiza chini kumaliza hasira nikichelewa kuondoka hapo
Una akili za kipumbavu. Jifunze kuwa Mwanaume, jifunze kuwa kiongozi.
 
Una akili za kipumbavu. Jifunze kuwa Mwanaume, jifunze kuwa kiongozi.
Kwa hiyo mwanaume sifa yake ni kupiga mke,na ukipiga mke wewe ni kiongozi mzuri sio?,huu ni utumwa wa kifikra za kale,kilele cha udhaifu wa mwanaume yoyote duniani ni kupiga mke.Hata mwanangu ukimuuliza ni lini alipigwa na mimi hajui.
 
Hakuna pahala niliposema umpige mkeo, soma tena nilipokureply na ufikirie kwa uyakini utapata majibu
 
Nasagia kunguni ila nyuma ya pazia nawaineaga huruma.
Ngoja
This time nisikuchekeshe

Ngoja nikung'amulie tafsiri ya hiyo sentesi.

Anataka mtu ambae atamsamehe pindi atakapo mcheat kama vile Mungu ameagiza.
Anataka mtu ambae atakubali kula makombo ,yes Mungu kasema tupendane retired hoes deserve a husband too.

Anataka mtu ambae atavumilia kulea watoto wa mwingine japokuwa hao watoto wata mdisrespect .
Mkuu inaonekana ulisha salitiwa sana , hivi vitu mwanaume wakawaida kawaida hawezi elewa mpaka awe amekula chaga za kutosha na kupitia heka heka za kupima DNA.

Ukweli upo sahihi 100%.
 
Hakuna pahala niliposema umpige mkeo, soma tena nilipokureply na ufikirie kwa uyakini utapata majibu
refference ni quote kutoka kwangu,maana huelewi mada inahusu nini?,kama unaelewe basi ibebe mantiki yangu kisha tembea na mchango wako na uoanishe nilichokujibu utanielewa,falsafa sio lazima itaje istilahi
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Wee ndo mana nakupenda.
Hutakufa kwa magonjwa yatokanayo na stress.
Mi mwenzio mshamba.
Nikulia[emoji16].
Sili[emoji16].
Siogi[emoji16].
Ukiingia muamala wa hela nafyonza kisa nilidhani ni sms yake kumbe ni sms ya pesa tu[emoji16].
Udumu sana miss To yeye
Duh,pole mdogo wangu
 
Sikumbuki mkuu kama niliwahi kusalitiwa.
Nadhan hiyo term inawahusu walio kwenye ndoa .

Mimi ni cheating material.

Mkuu haya mambo ni hatar sana
Ila.kwa experience yangu kuna wanaopenda kuchezewa mind.games
Kuna wengi wana enjoy drama na hayo mambo mengii.
Mkuu inaonekana ulisha salitiwa sana , hivi vitu mwanaume wakawaida kawaida hawezi elewa mpaka awe amekula chaga za kutosha na kupitia heka heka za kupima DNA.

Ukweli upo sahihi 100%.
 
Back
Top Bottom