Mtatiro anatuchanganya kwenye mjadala wa bunge la katiba

Mtatiro anatuchanganya kwenye mjadala wa bunge la katiba

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
18,949
Reaction score
4,639
Akichangia sasa hivi bungeni ameanza kuweka vionjo wa kutugawa kwa kutaka eti tulivyo kaa tukae wabara na visiwani pekee kwa kujitenga lakini shukuru mungu wajumbe wamemwambia ukweli na kumuonya asitupeleke huko anakotaka yeye.
 
Kwa heshima yangu mkuu piga kura ya siri ipitishwe tafadhari
unataka asichaguliwe tena baada ya bunge la katiba? wale amba hawakuchaguliwa unawasikia na thread ya coward mara naenda chalinze kumpigia kampeni Riz1 n.k usicheze na wana siasa uchwara
 
Back
Top Bottom