Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Akichangia sasa hivi bungeni ameanza kuweka vionjo wa kutugawa kwa kutaka eti tulivyo kaa tukae wabara na visiwani pekee kwa kujitenga lakini shukuru mungu wajumbe wamemwambia ukweli na kumuonya asitupeleke huko anakotaka yeye.