Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Mkuu mjadala unaendelea hatujafikia kwenye kipengele hicho leo au kesho tutajadili hicho kipengele.Hebu tuambie kura ya siri na wazi zimeshia wapi?
Mkuu mjadala unaendelea hatujafikia kwenye kipengele hicho leo au kesho tutajadili hicho kipengele.
Mkuu mjadala unaendelea hatujafikia kwenye kipengele hicho leo au kesho tutajadili hicho kipengele.
Mkuu mjadala unaendelea
hatujafikia kwenye kipengele hicho leo au kesho tutajadili hicho
kipengele.
unataka asichaguliwe tena baada ya bunge la katiba? wale amba hawakuchaguliwa unawasikia na thread ya coward mara naenda chalinze kumpigia kampeni Riz1 n.k usicheze na wana siasa uchwaraKwa heshima yangu mkuu piga kura ya siri ipitishwe tafadhari