Mtatiro kukusanya saini za wajumbe wa bunge la katiba wanaopinga posho

Mtatiro kukusanya saini za wajumbe wa bunge la katiba wanaopinga posho

Wakumsifia tayari tupo. Heri nimsifie yule anayetafuta sifa kwa maslahi ya wengi kuliko yule afanyaye hivyo kwa maslahi ya wachache.

Wengi akina nani? Au we mkewe unamsaidia kupata kiki?
 
Atatusaidia kujua nani ni nani.

Asasi/taasisi/vyama vya siasa/makundi yawakemee wale waliotumwa kama wawakilishi wao.mpaka sasa ni cuf na chadema pekee waliotangaza kupinga ongezeko la posho.wapi NG'O?, i wapi ccm?

Tusemezane na mwenye mbwa
 
Niko kwenye. Nafasi ya M/Kiti wa bunge la m/katiba mgombea wa nafasi hii asitokane/asiwe waziri kwa maoni yangu ili asiwe na masilai ya upande furani
 
Safi sana Kaka mtatiro nyie ndo wabunge wetu wajao tusadie kuwajua wachumia tu bo anza na kaptain komba jinsi anamtumbo mkubwa sijua kama atakubali
 
Wengi akina nani? Au we mkewe unamsaidia kupata kiki?

Ni vizuri kuwaza kwa kutumia akili za kichwani kabla hujaamua kuzungumza. mkewe pia ni mtu na akifanya hivyo ni jambo jema zaidi kuliko wale wanaowatuukuza wanaume wanamziki wa marekani kama usher raymond kwa kuweka picha zao kwenye profile zao kana kwamba wana ubia nao wa mambo yasio na maadili kwa taifa la tanzania.
 
Linda zikifunguka watoto mnakuwa na taaabu sana
 
Back
Top Bottom