Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
ambaye ni Mzalendo naamuunge mkono zitto,ispokuwa wajumbe ambao si wabunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mimi nipo namsikiliza bwana Idd Azan kila siku ngoja ateleze kisha arudi kitaa, labda aishie kwao huko Magomeni ila kinondoni asikatize....
.............Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma................
Yaani nimecheka kweli hapo. Huyu huyu Mtatiro nimjuaye ameenda na dereva huko? Aseme ukweli bana. Yeye ameenda na nyumba ndogo na kila mtu aliyepo huko anajua
Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
Kwahiyo unataka Watanzania wote wawe Chadema? haya Shibuda mnaye huko Chadema ana uthubutu wa kuongea haya kwa njaa aliyonayo?unajitafutia umaarufu kwenywe posho, hama kwanza cuf maana haikufai, njoo kwa makamanda
Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
Mpunguze kuropoka kama huna uelewa na kile unachoandika, Mtatiro hakwenda bungeni kwa tiketi ya Cuf, wacha kukurupuka.Aliyekwambia Zitto hachukui posho ni nani, hakuna mbunge asiyechukua posho, zitto ni mnafiki tu, na msaliti mkubwa, huyo Mtatilu naye ni mnafiki tu hana lolote, kwanza nafasi ya vyama kutoa wajumbe zilikuwa mbili, imekuaje yeye na Lipumba waende wote, na wote ni wa bara, anafikili tumesahau kuwa yeye na ccm ni kitu kimoja, aache unafiki.
Kwani wakiongeza utaacha kuichukua?
mkuu unataka kuwacharaza viboko kama vya shuleni kabisaa? kama ndo hivyo mimi nitamshughulikia mbunge wangu Ngeleja
Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
Kwahiyo unataka Watanzania wote wawe Chadema? haya Shibuda mnaye huko Chadema ana uthubutu wa kuongea haya kwa njaa aliyonayo?