C Campus Member Joined Aug 19, 2011 Posts 34 Reaction score 10 Aug 20, 2011 #1 Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
nsimba JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 782 Reaction score 55 Aug 20, 2011 #2 just statistics! wait-coming soon.
Vanpopeye JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 620 Reaction score 59 Aug 20, 2011 #3 Umesikia kwa nguvu,hukusikia kwa makini, hahahaaa wametoa takwimu peke yake! Campus said: Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye.... Click to expand... <br /> <br />
Umesikia kwa nguvu,hukusikia kwa makini, hahahaaa wametoa takwimu peke yake! Campus said: Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye.... Click to expand... <br /> <br />
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 280 Aug 20, 2011 #4 Majina yaliyoorodheshwa ni wale waliokosa nafasi na wameombwa kuapply upya kama bado wanahitaji.
G Great suley Member Joined Aug 12, 2011 Posts 30 Reaction score 5 Aug 20, 2011 #5 hivi tcu ina kazi gani kama si mpango wa kula 30000 zetu za bure..i think vyuo vingeachwa vichague wanafunz vyenyewe...in short sioni kazi yake ila n kampango kaliko buniwa na wajanja wachache wale pesa kiulain na hakuna lolote zaidi...
hivi tcu ina kazi gani kama si mpango wa kula 30000 zetu za bure..i think vyuo vingeachwa vichague wanafunz vyenyewe...in short sioni kazi yake ila n kampango kaliko buniwa na wajanja wachache wale pesa kiulain na hakuna lolote zaidi...
A ally mwiromba New Member Joined Aug 11, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Aug 25, 2012 #6 jaman hivi mikopo mpaka lini?