Mtatokeo ya waliochaguliwa vyuo vikuu

Mtatokeo ya waliochaguliwa vyuo vikuu

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
 
Umesikia kwa nguvu,hukusikia kwa makini, hahahaaa wametoa takwimu peke yake!
Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
<br />
<br />
 
Majina yaliyoorodheshwa ni wale waliokosa nafasi na wameombwa kuapply upya kama bado wanahitaji.
 
hivi tcu ina kazi gani kama si mpango wa kula 30000 zetu za bure..i think vyuo vingeachwa vichague wanafunz vyenyewe...in short sioni kazi yake ila n kampango kaliko buniwa na wajanja wachache wale pesa kiulain na hakuna lolote zaidi...
 
Back
Top Bottom