[emoji23][emoji23][emoji23] Mbogamboga hawajawahi kua wazima kwa Medulla Oblongata.... Pages mingi tu za sirikali zinapost huko sijui wame whitelist IPs zao tu afu wengine tumefungiwa..Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa.
Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
View attachment 3343094