Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa.
Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa.
Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X View attachment 3343094
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbogamboga hawajawahi kua wazima kwa Medulla Oblongata.... Pages mingi tu za sirikali zinapost huko sijui wame whitelist IPs zao tu afu wengine tumefungiwa..