Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mheshimiwa Miraji Mtaturu, amesema kuwa wapo baadhi ya watu wanaojaribu kuonesha tofauti na kutoshirikiana kisiasa, lakini ukweli ni kwamba wengi wao wanafanana kwa kauli na matendo.
Akichangia Bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Mtaturu alisema:
"Mheshimiwa napokea taarifa kwa heshima ya pacha wangu lakini naomba tu niseme hata wale wanaosema hatuchezi nao pia ni haohao, wanafanana na hao wanaosema No reforms No election, kwa sababu hali ya mziki wa Mpanzu na wengine ni mkubwa sana pale ambapo wataona tunabeba kombe"