Mtatuua na lugha zenu za ki- digital

Mtatuua na lugha zenu za ki- digital

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu.
Akanijibu 21002.
Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU
[emoji15] [emoji15] mtatuua na lugha zenu[emoji14]
 
Sio lugha za kidigital. Ni ushamba tu ndio unwasumbueni
 
Back
Top Bottom