GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga kuifunga Azam ni Lazima. Mipango yote imekaa sawaNa mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Nyie si mmeamua kumsajili Dube ili asiwaweke tena..!! Na nawaambia, Dube atawaweka own goals..!!Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Siyo Azam tuu wanaokuwa nyoronyoro wakicheza na Yanga, makolo ndo hulegea kabisa na kulowa makalio Hadi utopolo kupiga bao tano kimtelezo kabisa.Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Bila hata mkwara wako, Azam watafungwa tu!!Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
HahaaaaaNa mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Matusi ya nini sasa Wewe hujui sasa tuko katika Kwaresma na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Punguza huko kuvuta Bangi huku ukiwa bado hujala au umeamkia kula Kiporo cha Makande.Kama timu lako likianzisha kucheza nyoronyorooo kwanini Azam acheze mdundiko?, Azam mechi ya mwisho amefungwa 3-2... We timu lako limefungwa 5-1 hapo Kati timu lako na Azam nani alaumiwe alikubali kuingiziwa mpini bila kilainishi?.
Hakoo Mr popomaa GENTAMYCINE
Umejuaje Mkuu? Mule mule Kudadadeki.Popoma unaandika hivyo lakini kiimani unaombea Yanga ifungwe then ukuje hapa kuwasifiaa
Ukiandika upuuzi wako usikumbuke kwaresma sawa popoma. Ukiwa kwaresma acha kuandika Mambo ya kipumbavu.. Simba mlivyokandwa 5-1 Azam walilamika au unyounyooo wenu unawasumbua?.Matusi ya nini sasa Wewe hujui sasa tuko katika Kwaresma na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Punguza huko kuvuta Bangi huku ukiwa bado hujala au umeamkia kula Kiporo cha Makande.
AiseeeAzam fc wanavyo muona utopoloView attachment 2937066
Yalaumiwe majini...Kama timu lako likianzisha kucheza nyoronyorooo kwanini Azam acheze mdundiko?, Azam mechi ya mwisho amefungwa 3-2... We timu lako limefungwa 5-1 hapo Kati timu lako na Azam nani alaumiwe alikubali kuingiziwa mpini bila kilainishi?.
Hakoo Mr popomaa GENTAMYCINE