Mtazame kwa picha mshiriki wa Miss Somalia

Mtazame kwa picha mshiriki wa Miss Somalia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hamjamboni nyote?

Nimeweka picha ya mshiriki 1 wa Miss Somalia aendaye kwa jina la Fatmaa Omary.

Unamshauri nini?

FB_IMG_1667224345132.jpg
 
Anavutia sana
ila kweli nmeamini beuty belongs to eyes of the beholder...Huyo mbona sura ya kawaida mamekup ndo yamemharibu kabisa, kope zimetaka kukutana.

Anazidiwa sura hata na Jokate, wema, lulu nk. Nk.
Na hao niliowataja sio kwamba ni visuuuu, sema tu ni maarufu.
Ukija mtaani watoto ni wakali kuliko hata hao masuperstar
 
Back
Top Bottom